myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeMane lavusi mi ende ai tachi niu mane everedei; Masaki peninsula izi mai home japo kwa sasa nimehamia Alaska [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji870][emoji870][emoji870]
View attachment 2277717
SawasawaInasemekana dunia ina watu karibu bilioni 8 kwa sasa hiyo ni fursa ambayo imewagawa watu katika makundi mawili muhimu, kundi moja kubwa ambalo linaongoza kwa wingi wa watu na kundi la pili ambalo linaongoza kwa nguvu ya maarifa.
Wapi huyu jiraniThose good ole days [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2277711
Wala sijui jirani....Wapi huyu jirani
Muda ni zaidi ya maliZingatia muda.
Katika kutimiza malengo zingatia ni lini au mda gani umepanga kutimiza lengo hilo kwa kuhakikisha kila lengo unalitimiza kwa mda mwafaka kwani “muda ni mali”