Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mlishakaa na akina Bill Gates na akina Zuckerberg wakawasimulia haya? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kitu ambacho ni tofauti Kwa Tajiri kwenye masaa yake 24 ata yatumia Kwa kujiongezea maarifa ya kujiongezea kipato zaidi.
Maisha mnayakompuliketi mno. Mi nikila ugali wangu na bamia na kushiba ndi basi sina shida na mtu yaani maisha nshayapatia [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]