Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mlishakaa na akina Bill Gates na akina Zuckerberg wakawasimulia haya? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Maisha mnayakompuliketi mno. Mi nikila ugali wangu na bamia na kushiba ndi basi sina shida na mtu yaani maisha nshayapatia [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mungu ni wetu sote
 
Anza leo kwa kunywa maji yenye ndimu kila siku asubuhi na uone mabadiliko ndani ya mwili wako. Mshirikishe mwenzio ili naye afaidike.
 
Japo limao lina asidi (acid) lakini likiwa tumboni huwa alkali (alkaline) na kufanya mazingira mazuri kwa usagaji wa chakula
 
Pia maji ya uvuguvugu husaidia kusawazisha utumbo uliojikunja na kutoa mawimbi tumboni na kufanya chakula kusukumwa vizuri.
 
Vitamini C na potasiumu iliyomo kwa wingi katika limao inasaidia katika utengenezaji wa seli za kinga katika mwili.
 
Vitamini C ni antioksidant (antioxidant) ambayo inasaidia kuondoa free radicals mwilini ambazo zimetambulika kusababisha saratani (cancer).
 
Back
Top Bottom