Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Muda huwezi kuupoteza kama watu Wanavyo sema kuwa wako sehemu flani Kwa kupoteza muda
 
Muda utabaki kuwa palepale,hauto potea kwani siku inavyo anza tu masaa 24 yana anza pia kuhesabika Ili kukamilisha siku. Maana siku ina masaa 24.
 
Kwa hiyo unapo sema unapoteza muda. Muda hauupotezi,Bali muda ndio unao kupoteza wewe
 
Ukitumia muda vibaya leo,Kesho haudaiwi muda wako uko pale pale Yani masaa 24.
 
Back
Top Bottom