Mervin
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 1,956
- 2,731
AmenMungu atupe usiku mwema π
π€Masikini ata tumia masaa yake 24 Sawa na masaa aliyo pewa Tajiri .
Lakini masikini atayatumia masaa yake 24 Kwa vitu visivyo vya muhimu kwenye maisha yake binafsi Kwa kuzurula mitandaoni,Kufatilia siasa,Michezo,vichekesho na taarifa ya habari
Kitu ambacho ni tofauti Kwa Tajiri kwenye masaa yake 24 ata yatumia Kwa kujiongezea maarifa ya kujiongezea kipato zaidi.
πKujari afya yake Kwa kuanzia anacho kula na kufanya mazoezi