Mervin
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 1,956
- 2,731
Mungu ni wetu soteMlishakaa na akina Bill Gates na akina Zuckerberg wakawasimulia haya? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Maisha mnayakompuliketi mno. Mi nikila ugali wangu na bamia na kushiba ndi basi sina shida na mtu yaani maisha nshayapatia [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
SawasawaWeka maji yenye joto kidogo (vuguvugu) katika glasi au kikombe , kata limao au ndimu vipande viwili na kamua kipande kimoja tu ndani ya glasi yenye maji.