Homoni inayoitwa Oxytocin ambayo hujulikana kama homoni ya mapenzi huzalishwa kwa wingi kwenye ubongo, na hupatikana kwa wingi katika matukio makuu matatu, matukio ya mapenzi ambapo homoni hii ndiyo huamua umpende nani, umpende vipi wakati gani utayapeleka vipi mapenzi yenu, na hii homoni ndio huamua umpende nani kwa wingi lakini pia homoni hii huzalishwa wakati wa kukutana kimwili mwanaume na mwanamke, lakini pia wkatati wa uchungu wa kuzaa homoni hii ndiyo huanzisha uchungu wa kuzaa, na la mwisho homini huongoza na kulinda mfumo mzima wa unyonyeshaji wa maziwa ya mama.