Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_0255.png
 
Bernard Morrison amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumpa uraia wa Tanzania ili aendelee kuishi nchini.

Morrison amesema anaipenda Tanzania, na endapo atapewa uraia yuko tayari kuichezea timu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars.
 
Back
Top Bottom