myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Tetesi: - Wamasai waliogoma kuhama Loliondo kutuhumiwa kwa uhamiaji haramu
Sakata la Loliondo lachukua sura mpya baada ya Serikali kuamua kutumia kigezo cha Uhamiaji Haramu ili kuwaondoa wamasai kwa nguvu kwenye eneo hilo alilouziwa mhamiaji kutoka nchi za kiarabu na kusababisha mgogoro mkubwa kwa wananchi na serikali. Mama Samia Rais wetu mpendwa tunaomba ingilia...www.jamiiforums.com