Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kinachotokea ni kwamba asilimia kubwa ya watu huchukua matatizo ya kazini na kurudi nayo nyumbabi na pia huchukua matatizo ya nyumbani na kwenda nayo kazini
Toa mwongozo mkuu tufanyeje isitokee.. mimi inanikuta Sana hii kukunjana na makonda wa daladala asb ni jambo la kawaida.

Baadae najiuliza yaani mia tu umenifanya nitoe mapovu vile. Siku Moja konda alizinguw nilimdaka shingo nilitaka kuua(nikamwambia siku nyingine nakunyonya mafwi) dah had watu wakasema huyu jamaa labda sio mtanzania. Maana mie hasira nje nje nikitafakari baadae tatizo ni stress za kazin na sometimes nikifumania mafla (mzigo) wa asb kile kifurushu cha asb Huwa nakuwa na amani.

Siku nyingine nilimbaka abiria mwenzangu mdomo, nikamkwida kama mwizi.

Ninaona ninao upuuzi wa Masuala Hadi ya kazini.

Simu ya boss mie hata sijaisave. Namchukia kinyama, na katika simu ambazo zikiita moyo unapasuka paaa! Sija msave hata Jina yaani inaingia kama unknown. Maamaae zake. Yaani nimechanganyikiwa
 
Kikubwa kinachowasumbua wengi ni kulalamika pasipo kuchukua mamzi magumu. Wengi wao hutumia kauli zifuatazo

Hali ya uchumi ngumu

Sina bahati ya kufanikiwe


Mimi bado ni kijana


Nishazeka muda umeniacha


Sina Elimu ya kutosha


Nimezaliwa kwenye familia masikini


siko vizuri kwenye kuzitambua furusa zinazo kuja mbele yangu


sina mtandao mzuri wa watu.


sina familia
 
vyote hivyo hapo juu havikupi garanti ya wewe kuweza kuwa masikini. au kukufanya wewe ushindwe kufikia malengo yako. hivyo vyote hapo juu vinatokana na uoga wa kuthubutu kufanya kitu katika mazingira sahihi. kuna vitu vingine vinavyo changia kama vile kukoswa nidhamu, kushindwa kutumia kipawa nk.......
 
USHAURI WA BURE KATIKA UPANDE WA WANAWAKE ( JITAMBUENI )

Mara nyingi wanawake ni watu Ambao wanapenda Sana mambo ya mitandao kuliko akina baba, na wakati mwingine wanajisahau sana kiasi Kwamba kupitia post Zao mtu anaweza jua maisha yako Bila hata kuja Nyumbani kwako kuishi na kuona,
Wakati mwingine hata kitendo cha wewe kutupia mapicha na kuonyesha labda kuwa uko sehemu fulani labda na mumeo au mkeo mnakula good time, au upo likizo sehemu fulani, au umesafiri na ndege hii na kubadili ndege nyingine, au mafanikio ya watoto wako kwenye mitandao, au Muda mrefu umekuwa Ukitafuta mtoto na umepata ujauzito unatupia picha hata mtoto hajazaliwa, unatupia mapicha ya matanuzi yako na vitu vyako kama Magari, Nyumba nakadhalika na mara nyingine wengi wetu huwa tunasahau kubadili maneno ya status yako hii ni kwa wanawake na wanaume.
 
Nataka nikwambie kitu kuwa kuna watu wapo kimya kimya lakini Wana mafanikio ya hatari na huwezi kuona wamejionyesha onyesha my dear na sikuambii kuwa kwa kufanya hivyo wewe unavyofanya mitandaoni kuwa Labda ni Dhambi kwa Mungu aaaaaah ila unatakiwa utambue kuwa
 
Hivyo wanawake Mungu atusaidie na tuwe makini na vitu vya kupost mitandaoni ili visije kuwa chanzo cha hazuni zetu baadaye, maana Kuna watu wengine wanatafuta mashambulizi, hivyo wote tuwe makini na mitandao na tubadilike maana shetani unajiinua sana kuvuruga maisha ya watu na familia za watu kupitia mitandao maana anajua ndio kwenye opportunity.
 
Hivyo wanawake Mungu atusaidie na tuwe makini na vitu vya kupost mitandaoni ili visije kuwa chanzo cha huzuni zetu baadaye, maana Kuna watu wengine wanatafuta mashambulizi, hivyo wote tuwe makini na mitandao na tubadilike maana shetani anajiinua sana kuvuruga maisha ya watu na familia za watu kupitia mitandao maana anajua ndio kwenye opportunity.
 
Hivyo wanawake Mungu atusaidie na tuwe makini na vitu vya kupost mitandaoni ili visije kuwa chanzo cha huzuni zetu baadaye, maana Kuna watu wengine wanatafuta mashambulizi, hivyo wote tuwe makini na mitandao na tubadilike maana shetani anajiinua sana kuvuruga maisha ya watu na familia za watu kupitia mitandao maana anajua ndio kwenye opportunity.
 
Tujifunze hili pia maana Kuna watu Wanaweza wasinielewe labda wakaelewa kupitia hii
Ndugu zangu wapendwa nawaomba sana msichukulie kwa wepesi jambo hili... Unapobadilisha Picha yako ya dp usisahau kubadilisha na maneno ya status yako... Ikiwezekana unapobadilisha Fanya vyote kwa pamoja hapo hapo
 
Rafiki yetu mmoja ametuambia kwenye group jingine kuwa kuna sokomoko limetokea nyumbani kwake na moto wake hauzimiki leo ni wiki ya tatu na mwisho wake haujajulikana bado... Sokomoko hilo lilianza hivi... Jamaa aliweka Picha ya gari lake la zamani na kuweka maneno ya status "Baya kama nini, hata kuliangalia linatia kinyaa" kwa bahati mbaya au nzuri mke wake wakati huo wote simu yake Ilikuwa inasumbua hivyo hakuweza kuingia watsap. Baada ya kama wiki akaweka Picha ya mkewe alafu akasahau kuondoa maneno ya status iliyokuwa na Picha ya ile gari... Shetani anavyojua kuyapanga mambo, simu ya mkewe ikatengemaa akarudi hewani na kukuta Picha yake kwenye profile ya mumewe na maneno yale... Mpaka leo nyumba haijatulia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…