antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Kuna kipimo cha uwiano wa Uzito na urefu wa mtu, kinaitwa BMi (Body mass index)Uzito gani ni sahihi
Mimi nime calculate nimepata 19.8 urefu 174cm,uzito 60kgKuna kipimo cha uwiano wa Uzito na urefu wa mtu, kinaitwa BMi (Body mass index)
Kkipimo hili kinalinganisha Uzito wa mtu kwa kila square meter ya urefu wake..
BMi = Uzito (kg) / urefu (mita) X urefu (mita)
Eg. Mtu mwenye 70kg na urefu wa 164cm
BMi yake ni 70/(1,64 X 1,64) = 26
BMi nzuri ni Kati ya 18,5 hadi 25
Hii inasaidia kujua kama uongeze au upunguze uzito wako!
Upo fit..Mimi nime calculate nimepata 19.8 urefu 174cm,uzito 60kg
Hapana..Hii aizingatii umri
ThanksHapana..
Urefu na uzito tu