A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 13, 2022 #1,334,381 Ulaji wa mbegu za alizeti utakuwezesha kupata madini ya zinki pamoja na vitamini E ambayo ni muhimu kwa ajili ya macho yako.
Ulaji wa mbegu za alizeti utakuwezesha kupata madini ya zinki pamoja na vitamini E ambayo ni muhimu kwa ajili ya macho yako.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 13, 2022 #1,334,382 Matunda ya rangirangi
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 13, 2022 #1,334,383 Chakula kama karoti, nyanya, pilipili hoho, boga na mahindi ni vyanzo bora vya vitamini A na C.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 13, 2022 #1,334,384 Inaaminika kuwa kemikali ya carotenoids inayoyapa matunda haya rangi zake ni muhimu kwa afya ya macho.
Inaaminika kuwa kemikali ya carotenoids inayoyapa matunda haya rangi zake ni muhimu kwa afya ya macho.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 13, 2022 #1,334,385 Ikumbukwe pia vitamini C na A zina manufaa kadha wa kadha kama tulivyoona kwenye hoja zilizopita.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 13, 2022 #1,334,386 Nyama ya ng’ombe
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 13, 2022 #1,334,387 Nyama imejaa madini ya zinki ambayo huuwezesha mwili kufyonza vitamini A ambayo ni muhimu kwa macho pia. Nyama inafaa ikiliwa kwa kiasi
Nyama imejaa madini ya zinki ambayo huuwezesha mwili kufyonza vitamini A ambayo ni muhimu kwa macho pia. Nyama inafaa ikiliwa kwa kiasi
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 13, 2022 #1,334,388 Ikumbukwe kuwa vitamini A huuwezesha mwili kukabiliana na matatizo yatokanayo na umri au uzee.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 13, 2022 #1,334,389 Kwa hakika maradhi mengi humpata mwanadamu kutokana na kuharibu au kuacha mfumo wa ulaji wa asili.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 13, 2022 #1,334,390 Ni kweli kuwa matunda na mboga vina manufaa makubwa kwa ajili ya macho yetu pamoja na mwili mzima kwa ujumla.
Ni kweli kuwa matunda na mboga vina manufaa makubwa kwa ajili ya macho yetu pamoja na mwili mzima kwa ujumla.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 13, 2022 #1,334,391 Jitahidi kufanya angalau nusu ya mlo wako uwe ni matunda na mboga.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 13, 2022 #1,334,392 Usisahau pia kumwona daktari mara kwa mara ili kupima afya ya macho yako pamoja na kupata ushauri wa kitabibu.
Usisahau pia kumwona daktari mara kwa mara ili kupima afya ya macho yako pamoja na kupata ushauri wa kitabibu.
big dreamer JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 401 Reaction score 1,091 Jul 13, 2022 #1,334,393 [emoji2]
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 13, 2022 #1,334,394 antimatter said: Watu wengi hufikiri kuwa kula mboga za majani ni umaskini; lakini ukweli ni kuwa mboga za majani zina manufaa makubwa kwenye miili yetu. Click to expand... Sawasawa
antimatter said: Watu wengi hufikiri kuwa kula mboga za majani ni umaskini; lakini ukweli ni kuwa mboga za majani zina manufaa makubwa kwenye miili yetu. Click to expand... Sawasawa
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 13, 2022 #1,334,395 Poleni mliotoka kazini..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 13, 2022 #1,334,396 Poleni mnaoendelea na kazi...
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 13, 2022 #1,334,397 Poleni wakusoma na waalimu wenu..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 13, 2022 #1,334,398 Poleni walezi wa familia zetu..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 13, 2022 #1,334,399 Mamalishe wote jioni njema..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 13, 2022 #1,334,400 Mliokuwa sokoni na dukani na saluni na gengeni jioni njema..