Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hupunguza uwezekano wa kupata Ulcers(Vidonda vya tumbo)
Je umechoka kupata Ulcers?au unataka usipate? Basi tunda la chungwa ndio mkombozi wako.Kiasi kikubwa cha vitamin C kipatikanacho katika chungwa kinasaidia kuulinda mwili kutokana na Helicobacter pylori(H.pylori) bacteria ambae husababisha peptic Ulcers(Vidonda vya tumbo).