Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hupunguza uwezekano wa kupata Ulcers(Vidonda vya tumbo)
Je umechoka kupata Ulcers?au unataka usipate? Basi tunda la chungwa ndio mkombozi wako.Kiasi kikubwa cha vitamin C kipatikanacho katika chungwa kinasaidia kuulinda mwili kutokana na Helicobacter pylori(H.pylori) bacteria ambae husababisha peptic Ulcers(Vidonda vya tumbo).
 
Vidonda vya tumbo vikijirudia mara kwa mara humsababishia mgonjwa kupata kansa ya tumbo baadae katika maisha hivyo jilinde kwa kuhakikisha unakunywa japo glasi moja tu ya juisi ya machungwa kwa siku.
 
Kinga ya Mwili(Immune Support)
Tunda la chungwa lina kiasi kikubwa cha vitamin C ambayo huukinga mwili kutokana na bacteria na virusi.Vitamin C ni muhimu kwa kusaidia kuharibika kwa celi (preventing cell damage) kwa kuondoa free radicals na kulinda DNA (Cancer prevention).Pia VitaminC inasaidia mfumo wa kinga ya mwili na husaidia kuzuia mafua na infections katika masikio.
 
Watu wanaokula mboga za majani katika milo yao ya kila siku wana faida kubwa ya kujikinga na magonjwa mbalimbali sababu mboga za majani zina madini na virutubisho vya kutosha ambavyo upungufu wake humpelekea mtu kuwa rahisi kushambuliwa na magonjwa mbalimbali kutokana na upungufu na ukosefu wa madini linzi na virutubisho linzi katika mwili
 
Sawasawa....
 
πŸ‘ πŸ‘
 
πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…