myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Weekend njema
🙄🤔![]()
Ningejua nisingewalea watoto wangu wa kufikia. Najuta!
Nilimuoa mke wangu miaka 30 iliyopita. Alikuja na Watoto wake wawili wa ndoa yake ya awali. Niliwapenda sana na nikawakubali na kuwafanya kama watoto wangu kwani sikubahatika kuwa Na Mtoto Wangu mwenyewe. Tulianza Maisha Yetu, Tulikaa kwa amani katika nyumba ya kupanga. Nilikuwa nikifanya kazi...www.jamiiforums.com