Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
Matumaini ya Chelsea kumsajili Serge Gnabry wa Bayern Munich yamepata pigo baada ya mshambuliaji huyo wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 27 kuamua kusalia katika klabu hiyo. (Football London)
 
Baada ya kumpata winga wa Leeds United wa Brazil Raphinha, Barcelona wanapiga hatua katika majaribio yao ya kumsajili mshambuliaji mahiri wa Poland Robert Lewandowski, 33. (The Athletic)
 
Mshambulizi wa Chelsea na Albania Armando Brojo, 20, bado analengwa na Newcastle United, lakini mkufunzi Eddie Howe ameonya kuhusu ugumu wa "bei ya juu na upatikanaji mdogo" huku akijaribu kuimarisha kikosi chake. (Mirror)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…