antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Mshambulizi wa Chelsea na Albania Armando Broja atajiunga na West Ham kwa mkopo wa msimu mzima.
[emoji120][emoji120]Mungu atupe siku njema [emoji120] [emoji2969]
AiseeMjerumani huyo mwenye umri wa miaka 24 alikuwa chini ya dau la euro 2m (£1.7m) kutoka kwa Gent ya Ubelgiji, ambako alikaa msimu huu kwa mkopo, lakini klabu hiyo ya Bundesliga ina thamani yake ya euro 5m (£4.2m (Voetbal Nieuws - in Dutch)
AmenMungu atupe afya na uzima 🙏 🤲