Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Faida tano za kutabasam
1: tabasam huongeza uzalishwaji wa homoni iitwayo endorphin ambayo huhusika na kuleta furaha kwa binadam,homon hii mara nyingi huchochewa na mazoez lakin mtu akitabasam inatosha kabisa kupata homon hii muhim
 
Kwanza:Tabasamu ndiyo asset kubwa, ujumbe na signal ambazo tabasamu hutoa kwa watu wengine huonesha jinsi tulivyo, nini tunahitaji, na namna na jinsi tulivyo
 
Pili:Tabasamu hueleza haraka na moja kwa moja kama mtu unaingilika (approachable), tabasamu huonesha nini tutataka kwa wengine na pia huonesha kwamba wanathamani
 
Kusubirishwa kwenye simu kunapoteza mudaJE umeshawahi kujiuliza kwa mwaka ni muda kiasi gani unaoupoteza kutokana na kutofanya chochote? Mathalani, mtu anakusubirisha tu sehemu halafu mwisho wa siku hatokei. kimsingi unakuwa umepoteza muda wako bure.
 
Matukio ya aina hiyo ya kupotezewa muda wako bure ukiyajumlisha kwa mwaka mzima kadri yanavyokutokea unadhani mwisho wa mwaka utakuwa umepotezewa muda kiasi gani?
 
Matukio ya aina hiyo ya kupotezewa muda wako bure ukiyajumlisha kwa mwaka mzima kadri yanavyokutokea unadhani mwisho wa mwaka utakuwa umepotezewa muda kiasi gani?
 
Majibu ya swali hili yanahitaji utafiti. Kwa mujibu wa Utafiti uliodhaminiwa na Duolingo na kufanywa na Onepoll umebaini kuwa binadamu wa kawaida anapoteza muda wa mwezi mzima kila mwaka kwa kutofanya chochote.
 
Utafiti uliofanywa kwa watu 2000 raia wa Uingereza umebaini kuwa binadamu wa kawaida anapoteza muda wa zaidi ya siku 26 kwa mwaka kwa kutofanya chochote, masaa 12 kwa wiki au zaidi ya masaa 624 kwa mwaka.
 
Foleni ya barabarani nayo inapoteza muda mwingi

Kwa zaidi ya nusu ya waliohojiwa wamekiri kwamba kusubirishwa kwenye simu ndiyo jambo linalopoteza muda kwa asilimia kubwa, maana yake ni kwamba mtu anakupigia simu halafu anakuambia nisubiri kidogo! (Anakusubirisha) unapoteza dakika kadhaa kusubiri mtu huyo muda wote huo unakuwa haufanyi chochote kwahiyo muda unakuwa unapotea bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…