antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
"God lets everything happen for a reason. It’s all a learning process, and you have to go from one level to another.” – Mike Tyson
Tunajuana wenyewe🤣🤣🤣 afu humuongei, mko kimya tu
Huyu Samuel Doe alistahili adhabu aliyopewa sababu ya matendo yake!Akiwa njiani kukimbia nchi Septemba 9, 1990 akiwa na walinzi wake karibu 60 lilivamiwa na kundi la Yorme Johnson na akauawa siku iliyofuata. Ukawa mwisho wa Doe aliyetajwa kuwa mmoja wa viongozi madikteta Afrika katika utawala wake wa miaka 10 uliosababisha vifo vya raia wengi wa Liberia
...bila kusahau mpunga 😊Mungu atupe afya na uzima 🙏 🤲
Sure..."Money and success don’t change people; they merely amplify what is already there.”– Will Smith