Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini si kwa kila mtu lazima ujue kutofautisha yupi ni mtu sahihi kwako na yupi anastahili kuwa upande wako na Tena ni yupi mnayeweza kuvumiliana. Utajitoa katika kila Hali kushirikiana nao,utawapa nafasi za juu za uhusika katika maisha yako
 
Tena utaenda mbali hata kufikiri kuwa sio tu marafiki Bali ni ndgu Lakini mwisho wanakuja kuwa mwiba mkali mithili ya msumari wa inch moja na nusu. Utajitoa kuwafanyia wema wa Hali ya juu na Wala hautauhesabia na utaumia pale wanapoanguka na utawashika mkono ili kuhakikisha wanainuka tena na kusonga mbele,utawapa hamasa mahususi ya kuwafanya wakue kutoka walipo waende katika viwango vingine
 
Narudia Tena kusema kuna watu watakuja katika sura nzuri na za kuvutia na mtaendana Sana ila kuondoka kwao kutakufanya uzione sura zao za ziada ambazo walizificha pindi mlipokuwa pamoja. Baada ya kupata walichokihitaji kutoka kwako, wataanza kukushusha thamani katika viwango vya chini kabisa vinavyoumiza,Watatangaza sifa mbaya kuhusu wewe
 
Back
Top Bottom