Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watasema "mezichukua akili zako na kuzipima katika mizani ndipo nimegundua akili zako ni nyepesi kuliko unyoya wa kuku".Ni watu wazuri kwa mgeni Ila mwenyeji kwao ni adui asiye na kifani.
 
Ukitofautiana na mtu yeyote yule ambaye kabla ya kutofautiana mlikuwa mkiishi vyema Basi kamwe usitumie tofauti zenu kuweza kueneza porojo za uongo na zinazoumiza moyo wa mwenzako hata kumchafulia nguo zake ambazo hazikustahili hata Mara moja kuchafuliwa. Nakuachia nafasi ya kujitafakari na kuweka mipaka ya kuamini watu 🌹
 
Chelsea imeshinda Barcelona katika usajili wa mchezaji wa Sevilla wa safu ya kati na nyuma Jules Kounde na itampatiamkiungo huyo wa miaka 23 kandarasi ya miaka mitano Stamford Bridge. (Telegraph - usajili unahitajika)
 
Liverpool ilimuulizia kiungo wa kati wa Borussia Dortmund na Uingereza Jude Bellingham mwezi Juni lakini klabu hiyo ya Ujerumani inasema mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 19- hatapatikana msimu huu wa joto. (Fabrizio Romano)
 
AC Milan wameungana na Borussia Dortmund na Barcelona katika kinyang'anyiro cha kumsajili kiungo wa kati wa Aston Villa na England chini ya umri wa miaka 19 Carney Chukwuemeka, 18. (Usajili unahitajika)
 
Back
Top Bottom