Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nimecopy google mkuu. Pia humu JF kuna mtu kaanzisha uzi wenye hayo madini wadau wameongezea madini mengine mengiNumbisa haya madini unatoka kichwani au? Yanatiririka na yamesimama hatari.
Niko na wanangu hapa nawapa lekcha mubashara kama nnavyopokea kutoka kwako.
Nimecopy google mkuu. Pia humu JF kuna mtu kaanzisha uzi wenye hayo madini wadau wameongezea madini mengine mengi
Bila kujali unayatoa wapi, ahsante Kwa kutuwekea hapa mkuu. Barikiwa