antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Aisee!Blood group O
– Mtu mwenye Blood group O+ hupokea damu kwa watu wenye Blood group O+ na O-
🤜Ukifikia hatua ambapo maneno ya watu hayakunyimi usingizi, jua umekua
👍Katika maisha usiogope kumpoteza mtu ambaye unahisi hafurahii kuwa karibu na wewe.