Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati mwingine huigiza amekufa ili kuwakamata samaki wakubwa kwa urahisi, akiwa majini utaona anazunguka tuu kama anapelekwa na maji, samaki wakubwa hubaki kumshangaa.
 
Ni mnyama anayeua haraka sana, tofauti na wanyama wengine walao nyama, hivyo kifo chake sio cha mateso sana kama kwa simba au chui, ila kwa mtizamaji atapata hofu Mara dufu kuliko akiona mauaji ya wanyama wengine.
 
Ni mnyama pekee anayekula nyama na anaishi umri mrefu, tofauti na wanyama wengine ambao hula nyama umri wao wa kuishi ni mfupi, hii ni kwasababu moja tuu mfumo wake wa mmeng'enyo wa chakula upo vizuri anaweza kula hata mifupa pasina kuchagua steki tuu.
 
Wakati mwingine mamba humeza mawe lakini bado sijapata uhakika mawe hayo sababu ya kumeza ni IPI, baadhi ya watu hudai mawe hayo humsaidia katika mfumo wa umeng'enyaji wa chakula na wengine hudai humsaidia katika kuogelea
 
UKIKUTANA NAYE UFANYE NINI ********************

Ushauri wa pekee ni kukimbia tuu, kwani hakuna namna yoyote inayoweza kukufanya utoke salama, mnyama huyu ana nguvu kubwa ya mwili na ni kiumbe ambaye huwezi pambana naye hata ukiwa na silaha kwa sababu ya ngozi yake ngumu.
 
Epuka kukaa sehemu ambazo kuna uwezekano wa uwepo wa kiumbe huyu ni hatari sana, sehemu hizo ni kama mito iliyopo vijijini au mbugani, kaa mbali kabisa na fukwe za mito hiyo, wala usidiriki kunawa au kutaka kunywa maji yake pasina ruhusa ya anayewaongoza
 
Back
Top Bottom