myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AmenMungu atupe afya na uzima 🙏
Duuh🙄Ni mnyama anayeua haraka sana, tofauti na wanyama wengine walao nyama, hivyo kifo chake sio cha mateso sana kama kwa simba au chui, ila kwa mtizamaji atapata hofu Mara dufu kuliko akiona mauaji ya wanyama wengine.
Aisee😊Mamba jike hapendi mambo ya mahaba, Mara nyingi hutumia muda mwingi kulikimbia dume.
🤔Wakati mwingine mamba humeza mawe lakini bado sijapata uhakika mawe hayo sababu ya kumeza ni IPI, baadhi ya watu hudai mawe hayo humsaidia katika mfumo wa umeng'enyaji wa chakula na wengine hudai humsaidia katika kuogelea
Sawa!Epuka kukaa sehemu ambazo kuna uwezekano wa uwepo wa kiumbe huyu ni hatari sana, sehemu hizo ni kama mito iliyopo vijijini au mbugani, kaa mbali kabisa na fukwe za mito hiyo, wala usidiriki kunawa au kutaka kunywa maji yake pasina ruhusa ya anayewaongoza
🖐️🖐️Salam kwenu wote..
AmenMungu atupe siku njema 🙏 🤲