Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapa nchini Tanzania nyati ni mnyama mwenye sifa kubwa sana na hasa mpaka kuingizwa katika wanyama watano ambao ni kama nguzo yakuonesha ubora na thamani ya wanyamapori tulionao katika hifadhi zetu.
 
Wanyama hawa watano kwa lugha ya kigeni wanaitwa “BIG FIVE” ambao ni Tembo, Faru, Nyati, Simba na Chui.
 
Sasa hapa ndo tunaona nikwajinsi gani nyati ni mnyama muhimu sana hasa katika kulitangaza taifa pia kwa upande wa maliasili.
 
SIFA ZA NYATI WA AFRIKA

1.Wana rangi ya kijivu ambayo inaelekea kuwa kama nyeusi au kahawia hasa kutokana na maeneo na jamii mbalimbali za nyati wa Afrika.
 
Wana pembe kubwa zilizo jikunja kuelekea ndani mithili ya ndoano…Dume ana pembe kubwa zaidi ya jike na zimekaribiana sana hasa maeneo ya chini. Na hii ni moja ya njia yakutofautisha kati ya jinsia ya kike nay a kiume. Lakini nyati wa msituni ana pembe zilizo taka kunyooka kidogo tofauti na wengine.
 
UMRI

Nyati anapokuwa katika hifadhi ya taifa au eneo lolote lile lenye kuhifadhiwa huweza kuishi mpaka myaka ishirini (20). Lakini anapokuwa anafugwa hufikisha mpaka myaka 29.
 
Back
Top Bottom