Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na sili zote nyati wa afrika uwa hawakai zaidi ya kilometa ishirini (20) kutoka kwenye eneo la maji kwasababu wanahitaji maji kila siku.
 
KUZALIANA

Kama hali ya hewa ni nzuri na mvua zinanyesha vizuri nyati huweza kuzaliana kipindi chochote katika majira ya mwaka.
 
Lakini kama maji yanakuwa ni ya shida basi nyati huzaliana kipindi cha majira ya unyevunyevu.
 
Nyati jike huingia kwenye mzunguko wa hedhi kila baada ya siku 23 na hudumu hapo kwa muda wa siku tano mpaka sita.
 
Nyati wa savanna huzaliwa akiwa na rangi ya weusi inayofanana na kahawia au wekundu na kahawia kwa mbali wakati nyati wa msitu huzaliwa na rangi kama nyekundu iliyo pauka.
 
Wastani wa uzito kwa watoto wa nyati hawa wanapo zaliwa uwa ni kilogramu 40kg lakini nyati wa savanna kuna wakati hufikia mpaka kilogramu 55-60 anapozaliwa
 
Baada ya umri huo watoto wa kike hubaki nakujiunga na kundi la kina mama wakati madume hujiunga na kundi la kina baba. Ikumbukwe kua kama mazingira ni mazuri nyati huzaa kila mwaka.
 
UMUHIMU WA NYATI

1
Nyati ni kivutio kikubwa cha utalii hasa pale mtu anaposikia kuwa nyati ni miongoni mwa wanyama waliopo katika kundi la wanyama wakubwa watano na muhimu hapa nchini. Mtu hupata shauku kubwa sana na kutamani kumjua hasa huyu nyati ni nani bali na kumuona pia.
 
Serikali inaingiza pesa nyingi sana kupitia sekta za utalii hususani wizara ya maliasili na utalii kwani kuna watalii hutoka nchi mbalimbali kwa ajili yakuja kumuona mnyama kama nyati tu.
 
Serikali inaingiza pesa nyingi sana kupitia sekta za utalii hususani wizara ya maliasili na utalii kwani kuna watalii hutoka nchi mbalimbali kwa ajili yakuja kumuona mnyama kama nyati tu.
 
Pia katika vitalu vya uwindaji serikali inaingiza pesa nyingi tu na ukitaka kuamini hili fatilia maeneo ambayo kuna mapori ya akiba yanayo milikiwa na wanajamii au vijiji utapata takwimu nikiasi gani wanaingiza kwa mwaka kwakutoa vibali vya uwindaji wa nyati.
 
Nyati hutumika kama kitoweo kwa wananchi nahivyo kujiongezea afya nzuri kwa kula protini itokanayo na nyama ya nyati.
 
Pia malighafi kama ngozi, kwato na pembe za nyati hutumika kutengenezea vitu kama viatu, nguo na mapambo mengi sana ya nyumbani na hata yakuvaa mwilini pia.
 
Back
Top Bottom