Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Yafanyike matangazo ambayo yatakuwa yanaonesha thamani ya wanyamapori lakini pia kuhamasisha watu kufanya utalii wa ndani kwa kupunguza gharama au kuweka wazi gharama husika kama inavyofanyika kwa baadhi ya maeneo. Gharama za sasa haziwafikii wananchi waliyo wengi na hatimae wachache ndio huweza kutembelea hifadhi zetu za taifa.