Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ziwa Natron; ambalo hupatikana kaskazini mwa Tanzania, 58km kusini mwa mpaka wa Tanzania na Kenya. Ziwa Natron ni ziwa la magadi ambalo ni eneo muhimu kwa mazalia ya heroe mdogo na mwekundu (lesser flamingo) pia upande wa magharibi ya tambalale ya Kilimanjaro milima ya Longido wanapatikana kwa urahisi buff-crested bustard, spike-heeled lark
 
Miinuko ya Hifadhi ya Taifa ya Kitulo: ambayo ndio hifadhi pekee Afika kwa ujumla iliyoundwa na aina tofauti tofauti za maua hivyo wakati mwingine huitwa “bustani ya Mungu”. Ina ndege wa kipekee amabo ni Denham’s bustard pamoja na Blue swallow.
 
Ziwa Victoria: ambalo hupatikana nchi tatu za Afrika Mashariki, na kwa upande wa Tanzania linatumika sana na ndege maji ambao ni cormorants, yangeyange (egrets), korongo (herons) na ndege mwingine Spotted-necked Otters ambaye hupatikana na Hifadhi ya taifa ya kisiwa cha Rubondo.
 
Kisiwa cha Zanzibar: kisiwa hichi kiwa kina spishi mbili za kipekee ambazo ni crab-plovers na Fischer’s Turaco, Greenbul na Grey sunbird ambao hutegemea zaidi hifadhi ya msitu wa Jozani ambao pia ni miongoni mwa misitu ya visiwani wenye ndege wa kipekee
 
Back
Top Bottom