myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa..Ugonjwa mwingine hatari unaosumbua watu wengi hivi sasa ni kiharusi (au stroke), lakini unaweza kujikinga nao kwa kuwa na mazoea ya kula karanga tu.
Sawasawa..Ugonjwa mwingine hatari unaosumbua watu wengi hivi sasa ni kiharusi (au stroke), lakini unaweza kujikinga nao kwa kuwa na mazoea ya kula karanga tu.
Sawa kabisa...Faida nyingine inayoweza kupatikana kwenye mwili kutokana na ulaji wa karanga, ni kinga dhidi ya ugonjwa wa saratani ya tumbo.
Mungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji2969]
Mungu atupe afya na uzima [emoji120]
Mungu atupe siku njema [emoji2969]
Walezi wa familia zetu asubuhi njema..
🖐️🖐️Salam kwenu wote
AmenMungu atupe siku njema 🤲