myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Salam kwenu mlio kazini leo..
Salam kwenu wote
Mungu atupe siku njema [emoji2969]
Mungu atupe afya na uzima [emoji120]
Mungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji2969]
Mungu atupe baraka zake
Amani na upendo kwa walezi wa familia zetu..
Salam za asubuhi
Salam kwenu walezi wa familia..
Mungu atupe afya na uzima [emoji120] [emoji2969]
Mungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji2969]
Amani na utulivu vitawale siku yetu..
AmenMungu atupe siku njema 🙏 🤲
AmenMungu atupe afya na uzima 🙏 🤲