A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 17, 2022 #1,336,361 Acha kula nafaka na kundekunde zilizootesha ukungu hasa kwa kutohifadhiwa vyema.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 17, 2022 #1,336,362 Vyakula hivi vinatoa sumu ya aflatoxin
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 17, 2022 #1,336,363 8. Usivute sigara
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 17, 2022 #1,336,364 Uvutaji wa sigara ni hatari na huenda ukakusababishia saratani ya koo,kinywa na mapafu.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 17, 2022 #1,336,365 Acha kuvuta sigara ili kuepukana na ugonjwa wa saratani. Fikiria kidogo,kwanini ufe kwa sababu ya moshi tu?.
Acha kuvuta sigara ili kuepukana na ugonjwa wa saratani. Fikiria kidogo,kwanini ufe kwa sababu ya moshi tu?.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 17, 2022 #1,336,366 9. Punguza au Acha Pombe Kabisa
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 17, 2022 #1,336,367 Ukiacha pombe utapunguza uwezekano wa kupata saratani na hivyo kuwa salama zaidi.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 17, 2022 #1,336,368 Achana na pombe, kuna madhara mengi sana ya kunywa pombe ukiachia ya saratani.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 17, 2022 #1,336,369 Badilisha Mtindo wa Maisha na Uwe Salama na Saratani Namna ya kuishi kunachangia kwa kiasi kikubwa kupata saratani au la.
Badilisha Mtindo wa Maisha na Uwe Salama na Saratani Namna ya kuishi kunachangia kwa kiasi kikubwa kupata saratani au la.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 17, 2022 #1,336,370 Chagua mtindo ulio bora na salama kama ilivyoshauriwa katika mada hii juu ya kuepukana na ugonjwa wa saratani.
Chagua mtindo ulio bora na salama kama ilivyoshauriwa katika mada hii juu ya kuepukana na ugonjwa wa saratani.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 17, 2022 #1,336,371 Afya yako ni jukumu lako mwenyewe na kupanga ni kuchagua.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 17, 2022 #1,336,372 Panga kuishi mtindo wa maisha ulio bora na salama chagua kuishi bila saratani.
Haifungiki JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 3,156 Reaction score 14,847 Aug 17, 2022 #1,336,373 Numbisa said: hatujambo,uliyemchagua ameshinda ama? Click to expand... Kura yangu haikupotea
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 17, 2022 #1,336,374 Nice Haifungiki said: Kura yangu haikupotea Click to expand...
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Aug 18, 2022 #1,336,375 Salam za asubuhi
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Aug 18, 2022 #1,336,376 Salam kwenu mlio sokoni dukani gengeni na saluni..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Aug 18, 2022 #1,336,377 Salam kwenu mlio kwenye vyombo vya usafiri
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Aug 18, 2022 #1,336,378 Salam kwenu wakulima na wafugaji.
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Aug 18, 2022 #1,336,379 Salam kwenu walezi wa familia..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Aug 18, 2022 #1,336,380 Salam kwenu mamalishe..