A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,121 Watu wengi hawasiti kutumia dawa za kutuliza maumivu hata kwa maumivu wanayohisi ni madogo.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,122 Lakini, je, unajua kwamba dawa zilezile za kutuliza maumivu zinaathiri uanaume wako na kuufanya usiwe na matokeo mazuri kitandani?
Lakini, je, unajua kwamba dawa zilezile za kutuliza maumivu zinaathiri uanaume wako na kuufanya usiwe na matokeo mazuri kitandani?
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,123 Dawa za kutuliza maumivu huzuia kuundwa kwa seli za uzazi na huvuruga homoni nyingi ambazo ni muhimu katika kufanya tendo la ndoa.
Dawa za kutuliza maumivu huzuia kuundwa kwa seli za uzazi na huvuruga homoni nyingi ambazo ni muhimu katika kufanya tendo la ndoa.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,124 2. Dawa ya kuzuia wasiwasi (anti-anxiety)
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Aug 29, 2022 #1,337,125 Usiku umeingia kwetu
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,126 Watu wengi wanaolalamika kuhusu matatizo ya akili na kuwa na wasiwasi hutumia dawa ili kukabiliana na hofu.
Watu wengi wanaolalamika kuhusu matatizo ya akili na kuwa na wasiwasi hutumia dawa ili kukabiliana na hofu.
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Aug 29, 2022 #1,337,127 Mungu atupe usiku mwema 🙏
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,128 Walakini, dawa kama hizo hupunguza hamu ya tendo la ndoa.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,129 Dawa hizi zinaweza kusababisha mtu kupoteza hamu ya kufanya mapenzi.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,130 Wakati mwingine hata husababisha wanaume kupoteza fahamu zao kabisa.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,131 3. Dawa ya kutibu kuganda kwa damu
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,132 Dawa zinazotumika kutibu kolesto, ambayo ni mgando wa damu, pia zina mchango mkubwa katika kupunguza nguvu za kiume.
Dawa zinazotumika kutibu kolesto, ambayo ni mgando wa damu, pia zina mchango mkubwa katika kupunguza nguvu za kiume.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,133 Wataalamu wa matibabu wanasema kuwa dawa hizi huingilia utendaji wa seli za uzazi
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,134 Utafiti unaonyesha kuwa dawa zinazotumika kutibu kuganda damu wakati mwingine husababisha matatizo kwa wanaume wanapolala kitandani na wake zao.
Utafiti unaonyesha kuwa dawa zinazotumika kutibu kuganda damu wakati mwingine husababisha matatizo kwa wanaume wanapolala kitandani na wake zao.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,135 4. Dawa za msongo wa mawazo (Sonona)
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,136 Dawa hizi, zinazojulikana kama “benzodiazepines,” mara nyingi hutumiwa kutibu magonjwa ya wasiwasi, kama vile wakati mtu anaogopa vitu ambavyo havipo na yuko peke yake.
Dawa hizi, zinazojulikana kama “benzodiazepines,” mara nyingi hutumiwa kutibu magonjwa ya wasiwasi, kama vile wakati mtu anaogopa vitu ambavyo havipo na yuko peke yake.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,137 Magonjwa mengine ambayo hutumia dawa hizi ni pamoja na kukosa usingizi na maumivu ya misuli.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,138 Lakini, upande wa madhara ni kwamba huathiri utendaji wa seli za uzazi wa kiume na hisia.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,139 5. Dawa ya Kuzuia Shinikizo la damu
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,140 Wagonjwa wanaotumia dawa za shinikizo la damu wanaweza pia kukumbana na changamoto nyingine ambayo ni kupungua kwa nguvu zao za tendo.
Wagonjwa wanaotumia dawa za shinikizo la damu wanaweza pia kukumbana na changamoto nyingine ambayo ni kupungua kwa nguvu zao za tendo.