A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,141 Dawa hizi zinaingiliana moja kwa moja na mishipa ya damu na pia hufanya kazi na mfumo wa neva.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,142 Wataalamu wengine wameongeza kuwa yapo hata matatizo ambayo wanawake wenyewe wanakumbana nayo na dawa hizo ambazo zinahusiana na viungo vya uzazi.
Wataalamu wengine wameongeza kuwa yapo hata matatizo ambayo wanawake wenyewe wanakumbana nayo na dawa hizo ambazo zinahusiana na viungo vya uzazi.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,143 6. Dawa za Kifua Kikuu
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,144 Dawa za dukani kama vile dawa za kupuliza katika pua zilizoziba na dawa za kwaida za kupunguza kuziba kwa pua zina athari zake.
Dawa za dukani kama vile dawa za kupuliza katika pua zilizoziba na dawa za kwaida za kupunguza kuziba kwa pua zina athari zake.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,145 zinaweza kusababisha matatizo katika tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,146 Ongea na daktari
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,147 Zungumza na daktari wako ikiwa unafikiri kuwa dawa ina athari mbaya kwenye utendaji wako wa tendo la ndoa.
Zungumza na daktari wako ikiwa unafikiri kuwa dawa ina athari mbaya kwenye utendaji wako wa tendo la ndoa.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 29, 2022 #1,337,148 Usiache kutumia dawa yoyote bila kwanza kuzungumza na mtoa huduma wako.
Kgothalo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2015 Posts 8,491 Reaction score 46,839 Aug 30, 2022 #1,337,149 You are my favourite notification
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Aug 30, 2022 #1,337,150 Jioni njema mliokuwa kazini leo..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Aug 30, 2022 #1,337,151 Jioni njema mliokuwa sokoni dukani gengeni na saluni...
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Aug 30, 2022 #1,337,152 Jioni njema mlio kwenye daladala na bodaboda na bajaji uangalifu uwe muhimu barabarani..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Aug 30, 2022 #1,337,153 Jioni njema mamalishe wote..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Aug 30, 2022 #1,337,154 Jioni njema walezi wa familia zetu..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Aug 30, 2022 #1,337,155 Jioni njema wakulima na wafugaji wote..poleni sana.
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Aug 30, 2022 #1,337,156 Wasafiri mfike salama muendako..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Aug 30, 2022 #1,337,157 antimatter said: Dawa hizi zinaweza kusababisha mtu kupoteza hamu ya kufanya mapenzi. Click to expand... Aisee..
antimatter said: Dawa hizi zinaweza kusababisha mtu kupoteza hamu ya kufanya mapenzi. Click to expand... Aisee..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Aug 30, 2022 #1,337,158 Mungu atupe jioni njema 🙏🤲
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Aug 30, 2022 #1,337,159 Mungu awaponye wagonjwa wote 🙏 🤲
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Aug 30, 2022 #1,337,160 Mungu atupe afya na uzima 🙏 🤲