Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Juisi ya caroti husaidia sana katika kutibu ngozi iliyo kauka na ulaji wa mara kwa mara hupunguza uwezo wa kupata vidonda vya tumbo pamoja na madhara mengine kwenye mfumo wa chakula.
 
Nyanya zina aina mbalimbali za viasili vya kurutubisha na visivyorutubisha vinavyohusiana na faida kadha wa kadha za kiafya. Hii inajumuisha lycopene, vitamini C, A na K, potasiamu, na nyuzinyuzi.
 
Hii ni pamoja na kusaidia kujenga afya ya meno, afya ya mifupa, afya ya ngozi, afya ya nywele, kupunguza shinikizo la damu (PB) na kupunguza viwango vya lehemu pamoja na kupunguza hatari ya ugonjwa wa moyo na saratani.
 
Sasa huenda tunazijua faida za kula lishe kamili ya kuleta afya ikiwa ni pamoja na kula matunda na

mbogamboga. Lakini wasichokijua watu wengi ni kwamba juisi ya mbogamboga ndiyo inayosaidia

kudumisha urari (pH) muhimu wa haidrojeni ya mwili.
 
pH ina maana ya nguvu ya haidrojeni katika mizani ya kupimia hali-asidi ya vitu mwilini. Ili mwili ufanye kazi vizuri na kuweza kuendelea kuishi, lazima uwe na vikemikali vinavyolipuka na vitu vya asidi ili kutengeneza chumvi na kutoa umajimaji wenye nguvu ya haidrojeni (ya baina ya 7 na 7.5) na uwe na kipimo cha haidrojeni chenye urari kamili kwa sababu saba:
 
Back
Top Bottom