myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asubuhi njema walezi wa familia zetu..
SawasawaSasa huenda tunazijua faida za kula lishe kamili ya kuleta afya ikiwa ni pamoja na kula matunda na
mbogamboga. Lakini wasichokijua watu wengi ni kwamba juisi ya mbogamboga ndiyo inayosaidia
kudumisha urari (pH) muhimu wa haidrojeni ya mwili.
Mungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji2969]
Mungu atupe afya na uzima [emoji120]
Mungu atupe siku njema [emoji2969]
Asubuhi njema walezi wa familia zetu..
Salam kwenu wote