myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asubuhi njema MamaLishe wote
Unatakiwa ukamatwe kwa nguvu,ufungwe kamba halafu utandikwe bakora za shingoni nyingi sana.Kisha unapakiwa kwenye Kirikou,safari ya hotelini Milembe.😂😂😂😂Mwanaume kama mimi kumpenda mpenzi wangu ni aibu kubwa mbele ya uso wa dunia. Naombeni ushauri wakuu.
Kwani wewe ni KE au ME?Mwanaume kama mimi kumpenda mpenzi wangu ni aibu kubwa mbele ya uso wa dunia. Naombeni ushauri wakuu.
Kijana akae na mtu wa kumchunga.Amelewa balimi huyo.Aibu ya nini sasa.....are u serious?
Kabisaa yani ilivyofahari kuwa proud na mke wako au mchumba wako au mume wako.Kijana akae na mtu wa kumchunga.Amelewa balimi huyo.
Kwani haisimami?!Mwanaume kama mimi kumpenda mpenzi wangu ni aibu kubwa mbele ya uso wa dunia. Naombeni ushauri wakuu.
Yani hata sielewiKwani haisimami?!
Itakua maan haiwezekan iwe kinyonge hivoYani hata sielewi