Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,311
- 49,343
😂polesana
Hahaha ila kuna watu wana aibu mpaka aibu yaniItakua maan haiwezekan iwe kinyonge hivo
Hatari sana.. tumtangulize kweny maombiHahaha ila kuna watu wana aibu mpaka aibu yani
Kuna sehem nliona unatafutwa....Ntakutag nkiona tena Madammtaachana tu......
Alivyo na aibu,atapandisha mapepo huyo.Hatari sana.. tumtangulize kweny maombi
Pepoo la aibu dawa yake vibokoAlivyo na aibu,atapandisha mapepo huyo.
Maombi muhimu kuna pepo la chuki linataka kumnyemeleaHatari sana.. tumtangulize kweny maombi
Ndiyo ugoro gani umeandika huu mdogo wangu, unatutia aibu wanaume.Mwanaume kama mimi kumpenda mpenzi wangu ni aibu kubwa mbele ya uso wa dunia. Naombeni ushauri wakuu.
😂😂😂😂😂Maombi muhimu kuna pepo la chuki linataka kumnyemelea
Walidhani watajipeleka wenyewe?Safari hii tutamjua tu nani ni mteja wa Milembe hotels!😂😂😂
Yaan ndio kumaanisha nini hapo mkuu?kumpenda mpenzi wangu ni aibu kubwa mbele ya uso wa dunia
hahahahahhaWalidhani watajipeleka wenyewe?Safari hii tutamjua tu nani ni mteja wa Milembe hotels!😂😂😂
Dadadeq wapitishe convo zao mtaa kwa mtaa watawabaini mmoja wapo mtoa mada tayari kashakamatika
🤣mmoja wapo mtoa mada tayari kashakamatika
Mbona na wewe nakutafuta lakini unanipotezea?Kuna sehem nliona unatafutwa....Ntakutag nkiona tena Madam
Mkuu, ulizeni hata tatizo likwapi kabla hamjapiga simu mirembe.Kamuone daktari milembe
#ushauri tayari