Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hebu jiulize, maisha yangekuwa hayana changamoto ungeimarika?Changamoto hukupa nafasi ya kujipima, kutazama vitu katika hali tofauti ambayo bila changamoto usingeona hivyo, husaidia kujua njia za kuepuka changamoto hizo na kukuimarisha katika ubunifu wa maisha.
 
Na mipango mingine ni sehemu kubwa katika kutufanya tuishi na kuyaona maisha kwa ujumla, ni katika kupata ile raha na furaha ya kuishi.
 
Kubali kumwambia rafiki yako jinsi unavyoutumia muda wako kisha jitafakari jinsi unavyoutumia muda wako na jifunze kuutumia vyema kwa sababu utaonekana unapoteza muda
 
Love feelings and National affairs are binary matters, kudos to Quality Control
Talking about quality control while trying to avoid quality control in love affairs which clearly have a major effect in the state of a nation. Technically, am afraid thats having double standards.
 
Back
Top Bottom