Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
YanazungumzikaWanaume tunaonewa mkuu, tuungane mkono tuanze kutetea haki za wanaume.
YanazungumzikaWanaume tunaonewa mkuu, tuungane mkono tuanze kutetea haki za wanaume.
Love feelings and National affairs are binary matters, kudos to Quality ControlMkuu, umefanya mpaka wakaweka uzi wangu mahala pasipo stahili...wakati ni jambo la msingi sana hili....yani hili swala na lile la tozo, ni hapa na hapa.
Pole, tafuta namna ya kujikwamuaNaumia tayari...sio siri.
SawasawaJuisi ya caroti husaidia sana katika kutibu ngozi iliyo kauka na ulaji wa mara kwa mara hupunguza uwezo wa kupata vidonda vya tumbo pamoja na madhara mengine kwenye mfumo wa chakula.
Asubuhi njema mlio kazini..
Mungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji2969]