Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ase mkuu...mi niko serious vibaya. Afu mmenifanyia unyama mpaka mods wameleta uzi wangu kwenye chit chat and jokes.
Yani mtu unaenda kushtaki mahakamani kutetea haki za wanaume afu unafungwa na wanaume wenzako. Dah!
kama ni chai wacha ikae huku, ila kama ni kweli

mwambie mod mbona ana hamisha fasta
 
Ndiyo ugoro gani umeandika huu mdogo wangu, unatutia aibu wanaume.
Hapana mkuu, sijui kwa nini hamnielewi jamaa mwenzenu...mwanaume hafai kupenda bali anafaa kupendwa mkuu...vinginevyo tunajikuta tunatuma mpaka za kutoa na apo hujui ata muelekeo...mara upigishwe magoti mbele za watu bila aibu unaomba uoe. Ndo maana tunadharaulika sku izi.
 
Yaan ndio kumaanisha nini hapo mkuu?

Yaan unaonaje aibu mkuu?

Au ushapoteza Malinda tayari ndio hio aibu yenyewe au?

Emu fafanua kidogo maana maelezo yako hayajajitosheleza nini kimekusibu mtoto wa mwanamke mwenzio unamuoneaje aibu?

😳
Mkuu, si ni mwanaume ndiye anayeoa? Halafu mwanamke anaolewa? Sasa mbona tunapigishwa mpaka magoti skuizi na tunaomba kabisa "will you marry me"- tafsiri yake si ni unaomba uolewe hapo?...ase inauma sana ukianza kumpenda mpenzi wako.
 
Huu nao ni Uzi.
Naunga mkono hojs ya mdau ya kusafusha majukwaa na kuacha nyuzi muhimu, quality control wafanye kazi yao
Mkuu, umefanya mpaka wakaweka uzi wangu mahala pasipo stahili...wakati ni jambo la msingi sana hili....yani hili swala na lile la tozo, ni hapa na hapa.
 
kama ni chai wacha ikae huku, ila kama ni kweli

mwambie mod mbona ana hamisha fasta
Wacha watalaam wakishaelewa uzito wa jambo, evidence ionekane kabisa. Kama mods hawajafanya haki ntaenda kwenye mahakama ya kukata rufaa. Wasinifanye walichomfanya Raila.
 
We nawe kama Tivu nyerere Tu
Kwenye kuwa semaji lao au? Maanake nimejikita kutetea haki za wanaume kindakindaki...hii mambo ya kutuma tuma na ya kutolea halafu hupewi haja ya moyo. Tozo kama hizi zitolewe kwenye mfumo wa jamii mkuu.
 
Back
Top Bottom