antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
“A man is already halfway in love with any woman who listens to him.” – Brendan Francis
Mungu atupe afya na uzima [emoji120] [emoji2969]
Iwe siku yenye amani na utulivu.
Mnajitahidi aisee. Mkiendelea hivi mnaweza kupindua meza 😁Hatujambo bro don saiv in 6_3 kwa kifupi ni 3_0😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Mnajitahidi aisee. Mkiendelea hivi mnaweza kupindua meza 😁
Mnajitahidi aisee. Mkiendelea hivi mnaweza kupindua meza 😁
Brooo umeona mchungaji kachapiwa daah ama kweli kuchapiwa hakuepukiki
Naona aibu hapa itamwangukia mwanamke zaidi. Na kwa mchungaji inabidi atulie kabisa apate na ushauri wa kisaikolojia na kiroho vinginevyo hata ndoa yake inaweza kusambaratika.Brooo umeona mchungaji kachapiwa daah ama kweli kuchapiwa hakuepukiki
Mwanzoni nilipoanza kuhubiri hapa kuwa:
#Kuchapiwa Hakuepukiki, #KitandaHakizaiHaramu na #Kuchapiwanisiriyandani wengi hapa akiwemo Kijana Mpole wakati ule hamkunielewa. Hakuna mke wa peke yako hapa duniani na ukilitambua hili mapema litakupunguzia siteresi zisizo na msingi. Hata ufanye nini kama ni kuchapiwa utachapiwa tu.
Mungu Ampe nguvu na busara baba mchungaji Ng'wanawane asipaniki. Ni mambo ya kawaida tu 😁😁😁
Halafu mke wa marehemu naye apatiwe uangalizi wa karibu. Imagine mumewe kajiua kisa mwanamke mwingine tena aliyeolewa. Sijui anajisikiaje. Halafu ni pisi kali tu yaani. Shikamoo mapenzi ...halafu mke msukuma mweupeeee,mchungaji kagoma kuachia ngazi
Tatizo mchungaji alikua anajitapa sana yaani wananzengo walimchora tu eti mtoto moya toka kwenye karatasiNaona aibu hapa itamwangukia mwanamke zaidi. Na kwa mchungaji inabidi atulie kabisa apate na ushauri wa kisaikolojia na kiroho vinginevyo hata ndoa yake inaweza kusambaratika.
Inaumiza sana ni msiba juu ya msibaHalafu mke wa marehemu naye apatiwe uangalizi wa karibu. Imagine mumewe kajiua kisa mwanamke mwingine tena aliyeolewa. Sijui anajisikiaje. Halafu ni pisi kali tu yaani. Shikamoo mapenzi ...