andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Haya mambo acha tu [emoji3][emoji3][emoji3]Mwanzoni nilipoanza kuhubiri hapa kuwa:
#Kuchapiwa Hakuepukiki, #KitandaHakizaiHaramu na #Kuchapiwanisiriyandani wengi hapa akiwemo Kijana Mpole wakati ule hamkunielewa. Hakuna mke wa peke yako hapa duniani na ukilitambua hili mapema litakupunguzia siteresi zisizo na msingi. Hata ufanye nini kama ni kuchapiwa utachapiwa tu.
Mungu Ampe nguvu na busara baba mchungaji Ng'wanawane asipaniki. Ni mambo ya kawaida tu [emoji16][emoji16][emoji16]