Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mithali 24:17-18

Usifurahi, adui yako aangukapo; Wala moyo wako usishangilie ajikwaapo; Bwana asije akaliona hilo, likamkasirisha; Akageuzia mbali naye hasira yake.
 
Here’s to the crazy ones. The misfits. The rebels. The troublemakers. The round pegs in the square holes. The ones who see things differently. They’re not fond of rules. And they have no respect for the status quo. You can quote them, disagree with them, glorify or vilify them. About the only thing you can’t do is ignore them. Because they change things. They push the human race forward. And while some may see them as the crazy ones, we see genius. Because the people who are crazy enough to think they can change the world, are the ones who do. --Steve Jobs
 
Brooo umeona mchungaji kachapiwa daah ama kweli kuchapiwa hakuepukiki

Mwanzoni nilipoanza kuhubiri hapa kuwa:
#Kuchapiwa Hakuepukiki, #KitandaHakizaiHaramu na #Kuchapiwanisiriyandani wengi hapa akiwemo Kijana Mpole wakati ule hamkunielewa. Hakuna mke wa peke yako hapa duniani na ukilitambua hili mapema litakupunguzia siteresi zisizo na msingi. Hata ufanye nini kama ni kuchapiwa utachapiwa tu.

Mungu Ampe nguvu na busara baba mchungaji Ng'wanawane asipaniki. Ni mambo ya kawaida tu 😁😁😁
 
Brooo umeona mchungaji kachapiwa daah ama kweli kuchapiwa hakuepukiki
Naona aibu hapa itamwangukia mwanamke zaidi. Na kwa mchungaji inabidi atulie kabisa apate na ushauri wa kisaikolojia na kiroho vinginevyo hata ndoa yake inaweza kusambaratika.
 

Attachments

  • IMG-20221002-WA0048.jpg
    63.4 KB · Views: 10
halafu mke msukuma mweupeeee,mchungaji kagoma kuachia ngazi
 
halafu mke msukuma mweupeeee,mchungaji kagoma kuachia ngazi
Halafu mke wa marehemu naye apatiwe uangalizi wa karibu. Imagine mumewe kajiua kisa mwanamke mwingine tena aliyeolewa. Sijui anajisikiaje. Halafu ni pisi kali tu yaani. Shikamoo mapenzi ...
 

Attachments

  • IMG-20221002-WA0053.jpg
    48.9 KB · Views: 15
Naona aibu hapa itamwangukia mwanamke zaidi. Na kwa mchungaji inabidi atulie kabisa apate na ushauri wa kisaikolojia na kiroho vinginevyo hata ndoa yake inaweza kusambaratika.
Tatizo mchungaji alikua anajitapa sana yaani wananzengo walimchora tu eti mtoto moya toka kwenye karatasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…