myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku uwe mwema mliokuwa shambani..
Pactis au pieces?Wastani wa pakiti bilioni 15 za sigara hutumiwa Duniani kwa siku moja tu.
paktiPactis au pieces?
Ufafanuzi kidogo tafadhali!Inachukua muda mrefu sana kwa sayari ya Venus kujizungusha katika mhimili wake kuliko kulizunguka jua. Kama ungezaliwa Venus ungewahi kuwa na umri wa mwaka mmoja kuliko kuwa na siku moja.