Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanaotumia mkono wa kushoto huwa na uwezo wa kufanya maamuzi kwa haraka zaidi tofauti na wanaotumia mkono wa kulia, sababu ubongo wao una uwezo wa kusafirisha taarifa kwa haraka zaidi kwa pande zote mbili kushoto na kulia.
 
Inachukua muda mrefu sana kwa sayari ya Venus kujizungusha katika mhimili wake kuliko kulizunguka jua. Kama ungezaliwa Venus ungewahi kuwa na umri wa mwaka mmoja kuliko kuwa na siku moja.
 
Elon Musk' ana mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa unafuu zaidi. Mtumiaji utapata GB 300 pamoja na kupiga simu na kutuma meseji bure kwenda eneo lolote Duniani kwa sh 22,000 tu. Wastani wa kawaida GB 300 kupata itakubidi uwe na 300,000 Tsh. Usisahau mpango wake wa kupeleka watu kutalii sayari ya Mars' kuanzia mwaka 2020 unakuja.
 
Mojawapo ya faida ya harufu ya ushuzi , Husaidia kujikinga na magonjwa ya mbeleni kama Matatizo ya moyo na kiharusi sababu ni kutokana na kiasi cha gesi ya Hydrogen Sulphide'
 
Marie Curie' ndiye mwanamke wa kwanza kushinda tuzo ya amani ya Nobel' na pia ndiye mtu pekee ambae ameshinda tuzo hiyo mara mbili (1903 na 1911) pia ndiye mtu pekee aliyeshinda tuzo hiyo katika vitu viwili tofauti (Kemia na Fizikia) hakuna mtu mwingine yoyote mpaka sasa aliyefanya hivyo. Pia ndiye mwanamke wa kwanza kuwa Profesa katika Chuo Kikuu Cha Paris
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…