myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Marahaba jirani, unaendeleaje..Sijambo jirani shikamooo
Nipo salama jirani..Uzima tele jirani, vipi kwenu?
Shwari kabisa jirani. Mzima?Marahaba jirani, unaendeleaje..
Niko salama kabisa jirani..Shwari kabisa jirani. Mzima?
Hapo maana'ake performance ya mwenza ni chini ya kiwango😁Asilimia 5% ya waingereza hufanya mapenzi huku wakiwa wanaperuzi' katika mtandao wa Facebook'
Hahaha..Nchini Austria' kuna sehemu maalum ambazo kuna mabwawa ya kuogelea ya pombe (sio maji bali ni pombe'). Unaogelea huku unaendelea kunywa.
Aisee!Kunguru huwa na mwenza mmoja tu katika maisha yake. Kama mmoja kati yao atakufa mwingine atabaki mjane mpaka atakapokufa nae hakuna kuchepuka'
👍Ukiwa unatamka hizi irabu kwa sauti "a, e, i, o, u" mdomo wako unakuwa mpana zaidi unapoanza kisha unapungua upana unapoenda mbele.Jaribu kuzisoma kwa sauti uone!
Aisee..Ulaji mara kwa mara wa Vitunguu Saumu' husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa' kwa wanaume. Husaidia kulainisha mafuta yote yanayopatikana katika mishipa ya damu hivyo huongeza kasi ya mzunguko wa damu kwa haraka. Wakati wa tendo la ndoa damu huteremka kwa urahisi mpaka kwenye Uume' na kuzidi kuongeza hamu zaidi
🖐️Wakuu kwema??
AmenMungu atupe afya na uzima 🙏
Tanesco ni shiida!Umeshakatika mapeema😁
Wakuu kwema??
huu uzi ni wa hovyo sana
Mungu atupe afya na uzima [emoji120]