melusine8
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 6,299
- 7,748
AiseeSayari ya Uranus unaambiwa inanukia harufu ya ushuzi' (Kijambo) anga lake unaambiwa linatoa harufu kama yai lililo oza
Ya nini kuutembelea!!!huu uzi ni wa hovyo sana
SawasawaPombe unapokunywa huingia moja moja kwenye damu kwa matumizi ya mwili ndiyo maana unapata matokeo yake kwa haraka. Maji unapokunywa hupitia mchakato wote wa mmeng'enyo (Kufyonzwa) kwaajili ya matumizi katika mwili.
😂😂😂😂😂😂😂jiraniiiYa nini kuutembelea!!!
Kawasha ndoige ya kistaarabu 🤣😂😂😂😂😂😂😂jiraniii
Duh...Mbwa huona wivu pale anapoona unaonesha upendo kwa mtu au mnyama mwingine kwa kiasi kikubwa kuliko yeye. Hiyo ni kwa mujibu wa utafiti kutoka Chuo Kikuu Cha California.
Hujambo jirani😂😂😂😂😂😂😂jiraniii
Hujambo jirani yetuKawasha ndoige ya kistaarabu 🤣
jirani kama spain world cup😂😂😂😂😂Kawasha ndoige ya kustaarabu 🤣
Sijambo jirani shikamoooHujambo jirani
Uzima tele jirani, vipi kwenu?Hujambo jirani yetu