melusine8
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 6,299
- 7,748
Mungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji2969]
Mungu atupe afya na uzima [emoji120]
Mungu atupe siku njema [emoji2969]
Asubuhi njema
Duh...Watu wenye uwezo mkubwa wa akili (High Intelligence) wapo kwenye uwezekano mkubwa wa kusumbuliwa na matatizo ya afya ya akili (Mental Health).