Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tafiti: Unachokiona muda huu, kilishatokea tayari!

Yote hutokana na muda unaochukua kwa mwanga kufikia kwenye macho.

Hii ina maana pale unapokiona kitu, kilishatokea tayari!
 
Mwezini kuna uwepo wa gesi ya Helium-3 ambayo kama itawezekana kuchimbwa na kuletwa Duniani, itaweza kuzalisha nguvu ya nishati yenye nguvu sawa na nishati ya Nyuklia na kutumika Dunia nzima kwa zaidi ya miaka 1,000.
 
Collosal Squid' wanapatikana maeneo ya bahari karibia na bara la Antarctica. Maajabu yake ni kama;

- Mnyama mkubwa zaidi kwa upande wa wanyama wote wasio na uti wa mgongo.

- Mnyama mwenye 'Jicho' kubwa zaidi kuliko wanyama wote Duniani.

Jicho lake ni kubwa mfano sawa na mpira wa miguu! ⚽
 
IMG_1319.jpg
 
Back
Top Bottom